NIMESIKIA RAISI WA MISRI ATAHUTUBIA TAIFA HILO KUPITIA
WANACHUO WA VYUO VIKUU NCHINI KWAKE.
NAOMBA RAISI WANGU MTUKUFU IGA HILI. ACHANA NA HAO WAZEE WA CCM WA DAR NA KUHUTUBIA VIVURI UNASHINDWA KUPATA TATHIMINI YA WAZI KWA UNAOWAHUTUBIA ILI KUJUA LIPI UNASTAILI KUENDELEA KULIONGELEA NA LIPI ULIACHIE NJIANI.

No comments:
Post a Comment