
JAMES RODRIGUEZ CHIPUKIZI WA MIAKA 20 KUTOKA COLOMBIA AMBAYE
ALIKUA AKIHUSISHWA NA KUHAMIA MANCHESTER UNITED AMESEMA HANA TAARIFA HIZO LAKIN
LAZAID ATAENDELEA KUZINGATIA KATIKA TIMU YAKE YA SASA YA PORTO. AKINUKULIWA
ALISEMA “NADHANI NINAFURAHA HAPA NA NINAMATUMAINI YA KUBEBA MAJUKUMU MAKUBWA
ZAIDI NA KUSHINDA MAKOMBE ZAIDI NIKIWA NA PORTO KATIKA MSIMU UJAO”
No comments:
Post a Comment