Wednesday, July 4, 2012

AVB ATAFANYA MAKUBWA PAMOJA NASI

Second chance: AVB can re-build reputation at Spurs

RAMON VEGA AMEVIAMBIA VYOMBO VYA HABARI YAKUWA WANAMATUMAINI MAKUBWA NA KOCHA ALIYETIMULIWA CHELSEA “ANDRE VILLA BOARS” LICHA YAKUWA HAKUFANIKIWA SANA ALIPOKUA CHELSEA KWA KIPINDI CHA MIEZI SABA. “NADHANI TUSIZINGATIE YA NYUMA BALI NIKUANGALIA SASA NAJUA YAKUA HAKUFANYA VYEMA ALIPOKUA NA CHELSEA LAKINI BADO TUNAIMANI NAE KWASABABU SASA YUPO KATIKA TIMU TOFAUTI NA YENYE FALSAFA TOFAUTI. NA MOJA YA MAJUKUMU YAKE NI KUHAKIKISHA TUNAFUZU KWA KOMBE LA MABINGWA L A ULAYA”

No comments:

Post a Comment