Tuesday, June 19, 2012

MNYIKA ATOLEWA "MJENGONI"

MBUNGE WA JIMBO LA UBUNGO KWA TIKETI YA CHADEMA MHE. JOHN MNYIKA LEO ALILAZIMIKA KUTOLEWA NJE NA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE KUFUATIA KAULI YAKE ALIYO ITOA DHIDI YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. JAKAYA KIKWETE KWA KUMUITA "DHAIFU" ANASEMA...."……………..RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE KUWA NI DHAIFU.. NA CCM NA WABUNGE WAKE NI WAZEMBE..KWA UTENDAJI KAZI WAO………….." HALI ILIOIBUA HISIA ZAWATANZANIA NA WABUNGE WA JAMHURI YA MUUNGANO............... LICHA YA KUTAKIWA ATHIBITISHE AMA AFUTE KAULI YAKE MHESHIMIWA MNYIKA ALIGOMA HALI ILIYO MLAZIMU NAIBU SPIKA WA BUNGE MHESHIMIWA JOB NDUGAI KUMTOA NJE YA KIKAO CHA BUNGE HADI KESHO ASUBUHI....... 

No comments:

Post a Comment