Saturday, June 9, 2012

MAAJABU YA DUNIA

Two-year-old Kelvin Santos was declared dead on Friday after he stopped breathing during treatment for pneumonia
MTOTO HUYU AITWAE KELVIN SANTOS MWENYE UMRI WA MIAKA MIWILI. ILISEMEKANA AMEKUFA LAKINI WAKATI WA MAZISHI ALIPIGA CHAFYA NA KUOMBA MAJI KABLA KURUDI KWENYE JENEZA NA KUKATA ROHO. NA BABA WA MTOTO HUYU AMEOMEKANA AKIWASHUTUMU VIKALI WAUGUZI NA MADAKTARI JUU YA KIFO CHA MTOTO WAKE.

No comments:

Post a Comment