Saturday, June 9, 2012

DEFOE ARUDI KIKOSINMCHEZAJI JERMAIN DEFOE AMERUDI KIKOSIN ILI AKISAIDIE KIKOS CHA SIMBA WATATU KATIKA MSIMU HUU WA MASHINDANO YA MATAIFA YA ULAYA. DEFOE ALILAZIMIKA KURUDI UINGEREZA AMBAPO ALIKWENDA KUHUDHURIA MAZISHI YA BABA YAKE MZAZI MZEE JIMMY DEFOE (PICHANI CHINI)


NA MARA BAADA YA KUWASILI KATIKA HOTEL YA KRAKOW ALIUNGANA NA WACHEZAJI WENZAKE KATIKA BASI NA KUELEKEA MAZOEZINI.

No comments:

Post a Comment