34' DIARRA ANAIKOSESHA UFARANSA GOLI BAADA YA MPIRA WA ADHABU KUWABABATIZA WAINGEREZA NA KIPA ANAUCHEZA NA DIARRA ANAURUDISHIA KWA KICHWA LAKINI UNATOKA NJE
39' UFARANSA WANASAWAZISHA KWA GOLI SAFI LA SAMIR NASRI BAADA YAGERRAD KUMKINGA GOLKIPA WAKE JOE HART.
KINACHO ENDELEA

NI HALF TIME WAPENDWA.... NA TUWEMO
MAREKEBISHO WADU MFUNGAJI NI LESCOTT NA SIO GERRRALD....SAMAHANI KWA USUMBUFU

MBIO ZINAENDELEA HAKUNA TIMU ILIOFANYA MABADILIKO.
No comments:
Post a Comment