Thursday, June 28, 2012

JK KUCHUKUA MIKOBA YA CHAN'GWALU UWANJANI
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, JAKAYA MRISHO KIKWETE, ANATARAJIWA KUWA REFA WA MCHEZO WA SOKA KATI YA WABUNGE MASHABIKI WA SIMBA DHIDI YA YANGA.
MECHI YA WABUNGE HAO MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA, INATARAJIWA KUFANYIKA JULAI 7, MWAKA HUU, UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM, IKIWA NI MOJA YA MATUKIO YATAKAYOPAMBA TAMASHA LA USIKU WA TUMAINI.

No comments:

Post a Comment