Friday, June 29, 2012

DK. KIGWANGALA NDANI YA JF


 

KESHO (LEO) BAADA YA BUNGE NITAELEKEA DAR NA NITA-COMMISSION MA-SHEIKH NA MA-USTADH MAKINI NINAOWAFAHAMU NA TUTAWASOMEA AHLUL-BADRI TAKATIFU, TUTAFUNGA NA KUTOA SADAKA HALALI MPAKA WALE WOTE WALIOMJERUHI ULIMBOKA WATAKAPOJULIKANA NA WATAKAPOKUFA!

HII NI MBINU MBADALA

No comments:

Post a Comment