Friday, June 29, 2012

BALOTELLI AFANYA MAMBOMARIO BALOTELLI ALIFUNGA MAGOLI MAWILI YA KUPENDEZA MNO NA KUIWEZESHA TIMU YAKE YA ITALIA KUISHANGAZA UJERUMANI KWA KUIFUNGA MAGOLI 2-1 KATIKA NUSU FAINALI YA EURO 2012, NA NAFASI YA KUCHEZA MECHI YA FAINALI MJINI KIEV DHIDI YA UHISPANIA.
Italia na Ujerumani
Ballotelli aliifungia Italia magoli mawili na kuifikisha nchi yake katika fainali ya Euro 2012MABAO YA MSHAMBULIAJI HUYO WA KLABU YA MANCHESTER CITY YA ENGLAND, ALIINGIZA GOLI LA KWANZA WAVUNI KUPITIA KICHWA, NA PILI KWA MKWAJU WA KASI MNO KATIKA UWANJA WA MJINI WARSAW, NA ITALIA KUWATHIBITISHIA WAJERUMANI KATIKA KIPINDI CHA KWANZA KWAMBA ILIKUWA NA NIA KAMILI YA KUFIKA FAINALI.
HII SASA ITAKUWA MARA YA TATU KWA ITALIA KUINGIA FAINALI ZA MICHUANO HII YA MATAIFA YA ULAYA, NA WATAINGIA FAINALI KAMA TIMU INAYODHANIWA KUWA DHAIFU IKILINGANISHWA NA MABINGWA WATETEZI UHISPANIA. 

GOLI LA KUFUTIA MACHOZI LILI FUNGWA NA OZIL DAKIKA ZA LALA KWA BURIANI

No comments:

Post a Comment