Thursday, December 1, 2011

WANAKILIMO KWANZA WA MANYARA WAGOMA

MAMIA YA WAKULIMA LEO WALIGOMA NA KUFANYA MAANDAMANO MAKUBWA WAKIWA NA ZANAZAO ZA KILIMO KWANZA KUPINGA KUONDOLEWA KATIKA MASHAMBA YAO. HALI HII ILIOZUA TAHARUKI MIONGONI MWA  WATUMIAJI WA BARABARA YA DODOMA DAR-ES-SALAAM KUTOKANA NA MATREKTA ZAIDI YA MIA NNE KUFUNGA BARABARA KUFUATIA HUKUMU YA KESI ILO IPA USHINDI HALMASHAURI YAO HIVYO MAHAKAMA ILIBARIKI KUONDOLEWA KWAO KUTOKA KWENYE MASHAMBA HAYO.............. HABARI ZAIDI TUTAENDELEA KUWAJULISHA KADIRI TUNAVYOZIPATA

No comments:

Post a Comment