MCHEZAJI WA ZAMANI WA BRAZIL Mchezaji mashuhuri wa soka aliyewahi kuwa nahodha wa Timu ya soka ya Brazil, Socrates amefariki akiwa mwenye umri wa miaka 57. Socrates aliyezaliwa tarehe 19/02/1954 alikuwa nahodha wa Timu ya Brazil kwenye michuano ya Kombe la Dunia mara mbili.
No comments:
Post a Comment