Sunday, December 4, 2011

Khartoum yateka kambi ya SPLA


JESHI LA SUDANI LIMESEMA KUA LIMETEKA. KAMBI MUHIMU YA WAPIGANAJI WA SPLA..... LAKIN NI NGUMU KUTHIBITISHA KWA SABABU YA MARUFUKU YALIOWEKWA KWA VYOMBO VYA HABARI NCHINI HUMO.

No comments:

Post a Comment