Saturday, December 10, 2011

HALI TETE DR CONGO BAADA YA MATOKEO YA UCHAGUZI

HALI YA UTULIVU IMEPOTEA NCHINI JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO MARA BAADA YA KUTANGAZWA MATOKEO YA URAIS AMBAPO YANAONYESHA RAIS JOSEPH KABILA ANAONGOZA NA NDIYE MSHINDI WA UCHAGUZI HUO. HALI HII INAFUATIWA NAUCHELEWESHAJI WA MATOKEO, PAMOJA NA KAULI ZA MPINZANI MKUBWA WA BWANA KABILA BWANA ETIENNE TSHISEKEDI KUENDELEA KUDAI YAKWAMBA YEYE NDIYE MSHINDI WA KITI HICHO CHA URAISI

No comments:

Post a Comment