Wednesday, December 7, 2011

AC MILAN IMESEMA IPO TAYARI KUMLIPA TEVEZ

VIGOGO WA SOKA LA ITALIA TIMU YA AC MILAN IMESEMA IPO TAYARI KUMLIPA CARLOS TEVEZ KIASI CHA PAUN 200 KWA WIKI. HIKI NI KIWANGO AMBACHO TEVEZ ANACHOLIPWA KATIKA TIMU YAKE YA SASA YA MATAJIRI WA MANCHESTER CITY. MPANGO HUO UMEAMBATANA NA MAKUBALIANO YA KUAFIKIANA BEI BAADAYE MWISHONI MWA MSIMU. HII INAMAANISHA TEVEZ ATAKWENDA JIJINI MILAN KWA MKOPO HADI MWISHO WA MSIMU HUU.No comments:

Post a Comment