Monday, August 13, 2012

MTIKILA: NCHI YA TANZANIA ILITABIRIWA NA NABII ISAYA


 

MTIKILA ASEMA OLE WA NCHI YA UVUMI WA MABAWA. NCHI INAYO ITAHIDI KUWAMULIKIA WENGINE ILI AHLI YENYEWE INATEKETEA.

NCHI HIYO IPO KUSINI MWA NCHI YA KUSHI (ETHIOPIA)

AKENDA MBALI ZAIDI AKASEMA NCHI YA TANGANYIKA (TANZANIA) ILITABIRIWA NA NABII ISAYA KWASABABU ALISEMA NCHI HIYO INA MTO NAILI NA BAHARI YA HINDI. NAPIA AKASEMA SAFINA YA NUHU ILITUA TANGANYIKA NDIO MAANA WANYAMA WENGI KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI WAMEHAMISHWA/ TOLEWA TANZANIA….

HAYA ALIYASEMA ALIPOKUA AKIHOJIWA NA BI REGINA MWALEKWA KATIKA KIPINDI CHA ICHO LA TATU KINACHORUSHWA NA CLOUDS TV.

No comments:

Post a Comment