Tuesday, August 14, 2012

MANDHARI YA JIJI YA ARUSHA IMENIVUTIA

MANDHARI YA JIJI LYA ARUSHA "KIFARU AKI-REPLACE" WALE WANYAMA WALIOPOTEA. 
TEMBO NAE HAYUPO NYUMA KUITENGENEZA MANDHARI YA JIJI LA ARUSHA

FARU NA MTOTO WAKE WAKI"KATIZA" KATIKATI YA JIJI LA ARUSHA

BUSTANI YA KUPUMZIKIA KARIBU NA OFISI YA MKUU WA MKOA

POZI KATIKA BUSTAN YA KUPUMZIKIA JIJINI ARUSHA. NI VEMA MAMLAKA ZA MIJI NA MAJIJI ZIKAANDAA MAENEO KAMA HAYA KWANI HUITENGENEZA MANDHARI YA MIJI NA MAJIJI MBALIMBALI..

SANAMU YA KUWAKILISHA MASHUJAA AMBAYO MIAKA YA NYUMA ILIKUA MAENEO YA BONDENI JIJINI ARUSHA LAKIN KWA SASA IMEHAMISHIWA KARIBU NA OFISI ZA MANISPAA YA JIJI LA ARUSHA.

HAKIKA MANDHARI YA JIJI HILI IMEBADILIKA SAANA KWANI IMENIVUTIA SANA NA HATA HALI YA HEWA YA HAPA NIMEIPENDA JAPO INANITATIZA KIDOGO.

No comments:

Post a Comment