GARI KUBWA MBILI ZILIPOPIMANA UBAVU.
BAADHI YA WANANCHI WAKIANGALIA AJALI HIYO
MLANGO WA GARI LA MAJI TAKA LILILOGONGWA MAENEO YA BUGURUNI
GARI LA MAJI-TAKA LIKIWA LIMENG'OLEWA MLANGO KUFUATIA AJALI ILIOTOKEA MAENEO YA BUGURUNI MCHANA WA LEO
KATIKA AJALI HII HAKUNA MAJERUHI WALA ALIYEPOTEZA MAISHA
TRIANGLE IKIWA IMEKANYAGWA NA GARI.
TUMESHINDWA KUPATA MAELEZO YAKUTOSHA KUTOKANA NA WANANCHI NA MASHUHUDA KUTOKUA TAYARI KUZUNGUMZIA CHOCHOTE.
No comments:
Post a Comment