Tuesday, November 12, 2013

TANZIA


Familia ya YOHANA NATSE inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao  VICTORIA D.MASSAY.

 

Kuzaliwa 1935-2013

Mama yetu tulikupenda sana ila Mungu amekupenda zaidi tutakukumbuka daima.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe  amen..
Mch.Natse.

No comments:

Post a Comment