Tuesday, April 16, 2013

MAKWAIA WA KUHENGA ANUSURIKA AJALINImtangazaji maarufu wa kituo cha Channel Ten amenusurika ajalini leo asubuhi maeneo ya buguruni malapa baada ya gari aliokua akiiendesha aina ya RAV 4 kuchomoka tairi ya mbele. lakini hakuna aliye umia wala kufariki dunia. 

No comments:

Post a Comment