Saturday, December 22, 2012

TANZANIA YATOKA KIFUA MBELE DHII YA ZAMBIA

TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFFA STARS LEO IMEITOA USHAMBA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA AMBAO NI MABINGWA WA AFRIKA. SHUJAA WA MCHEZO HUO ALIKUA NI MRISHO NGASSA ALIEIPATIA STAZ BAO LA USHINDI. NA KUIHAKIKISHIA TAIFASTARS POINT KATIKA "RANK" ZA FIFA

No comments:

Post a Comment