Thursday, December 20, 2012

MOSHI HAKUENDEKI KIRAHISI


ADHA YA USAFIRI KUTOKA UBUNGO DAR-ES-SALAAM KUELEKEA MAENEO MBALIMBALI YA IMEKUA NGUMU KUTOKANA NA UHABA WA MABASI NA WINGI WA ABIRIA WANAO HITAJI KUSAFIRI KWENDA KUSHEREHEKEA SIKUKUU ZA KRISMAS NA MWAKA MPAYA

No comments:

Post a Comment