Friday, December 21, 2012

GODBLESS LEMA ASHINDA KESI NA KURUDISHIWA UBUNGEMBUNGE WA ARUSHA MJINI MHESHIMIWA GODBLESS LEMA AMERUDISHIWA UBUNGE WAKE BAADA YA KUWA LIKIZO  KWA MUDA MREFU HABARI KUTOKA MAHAKANI ZINASEMA MBUNGE HUYU AMERUDISHIWA HADHI YAKE YA UBUNGE BAADA YA KUSHINDA KESI ILIOKUA IKIMKABILI.

HABARI ZAID NA ZA KINA TUTAWALETEA MARA TUTAKAPO ZIPATA

No comments:

Post a Comment