Sunday, December 23, 2012

AJALI ENEO LA MBOGA CHALINZE


KUMETOKEA AJALI NJE KIDOGO YA CHALINZE KATIKA EEO LA MBOGA MKOA WA PWANI. MPAKA SASA HAKUNA KIFO KILICHORIPOTIWA. LAKIN WATU KADHAA WAMERIPOTIWA KUUMIA. GARI HILO LILILOKUA LIKITOKEA PANGANI KUELEKEA DAR ES SALAAM. CHANZO CHA AJALI BADO HAKIJA WEKWA WAZI LAKINI BADO TUNASISI TIZA WATU WASALI SANA KILA WAWAPO SAFARINI HASA KIPINDI HIKI CHA MWISHO WA MWAKA.

HABARI ZAII TUTAWALETEA KADIRI TUTAKAVYO ZI[PATA

No comments:

Post a Comment