Monday, November 12, 2012

MAONI YA MH KAFULILA JUU YA USHINDI WA OBAMA


Ushindi wa obama ni kwa maslahi ya USA dhidi ya wafrika na warabu

Nimekuwa nikitofautiana sana na wanasiasa wengi waliojaribu kushabikia ushindi wa obama ama kwa kudhani nafuu kwa mataifa ya kiarabu au afrika. Ukweli ni kwamba obama alishinda kwasababu alionekana ni kiongozi sahh ktk kusimamia maslahi ya marekani dhidi ya afrika na nchi za kiarabu. Ktk miaka minne ameweza. Amefanikiwa kummaliza osama, amefanikiwa kuivuruga libya na north afrika kwa ujumla. Kazi iliyopo mbele yake ni kuzidi kuikamata afrika dhidi ya china na kusambaratisha mataifa yote ya kiarabu kwa kuanzia iran. Sura ya obama ya kislamu kama huseni na kiafrika kwa ngozi nyeusi ni mtaji wa marekan katika kuangamiza dunia ya kiarabu na afrika bila kelele nyingi.

No comments:

Post a Comment