Friday, October 5, 2012

PUYOL NJE EL-CLASSICO




BARCELONA ITAKOSA HUDUMA ZA NAHODHA WAKE CARLES PUYOL WAKATI WA MCHUANO WA LIGI KUU YA LA LIGA NCHINI UHISPANIA KATI YAKE NA REAL MADRID SIKU YA JUMAPILI KATIKA UWANJA WAO WA NYUMBANI WA NOU CAMP  BAADA YA KUJERUHIWA.
PUYOL ALIJERUHIWA KIWIKO CHA MKONO WAKATI WA MCHUANO WA BARCELONA NA BENFICA YA URENO JUMATANO USIKU , MCHUANO WA KUWANIA TAJI LA KLABU BINGWA BARANI ULAYA MECHI AMBAYO WALISHINDA KWA MABAO 2 KWA 0.

No comments:

Post a Comment