Kanisa la TAG Mbagala Kizuiani lililovamiwa na waandamanaji.
Waumini wa Kanisa la TAG Mbagala Kizuiani wakiwa na masikitiko kutokana na hasara iliyosababishwa na Waandamanaji
Mzee wa Kanisa la TAG Mbagala Kizuiani, akiangalia uharibifu uliofanyika
Gari ya Mchungaji wa TAG Rev. Joseph Kinyota ikiwa imechomwa moto sehemu ya nyuma.
Gari nyingine iliyoharibiwa katika eneo la Kanisa la TAG Mbagala Kizuiani.
No comments:
Post a Comment