by John Bukuku on October 28, 2012 in SIASA with No comments Tweet
Wanachama
wa Umoja wa Vijana wa CCM (UV-CCM), wakiwa wamesimama na mabango makao
makuu ya umoja wa vijana CCM kumpinga kwa Mwenyekiti mpya wa Taifa wa
Umoja huo, Khamis Sadifa Juma na viongozi wenzake, wakati alipowasili
makao makuu ya umoja huo jijini Dar es Salaam , akitokea mkoani Dodoma
alipochaguliwa kushika nyadhifa hiyo.


No comments:
Post a Comment