BAADA YA KUGOMBEA TIKETI NDO NIKAINGIA NDANI ILI KULINGOJA TRENI LENYEWE
KWAKWELI TULIINGIA NDANI KUKIWA NA MWANGA WA JUA KWA MATUMAINI TUTAONDOKA MAPEMA.
TUKAWA TUKIENDELEA KULISUBIRI KWA MATUMAINI KUA LITAFIKA MDA MCHACHE UJAO
TUKASUBIRI NA KUSUBIRI LAKINI BADO HALI ILIKUA NI NGUMU KIDOGO
MFANO WA TIKETI ITUMIWAYO NDANI YA TRENI
UTARATIBU WA TIKETI NI MBOVU WAKATAJI HAWAZINGATII IDADI ITAKIWAYO YA ABIRIA BALI WAO HUJIKATIIA TU TIKETI ILIMRADI WAMEKATA
MKUSANYIKO WA WATU AMBAO WALIKUA WAKIELEKEA MAENEO MBALIMBALI YA TANZANIA WAKISUBIRI TRENI
HEKAHEKA ZA KUSUBIRI ZIKIENDELEA NA SHAHUKU IKIZIDI KUPOTEA
GIZA LIKIINGIA NA MATUMAINI YAKIFIFIA
GHAFLA LIKAINGIA LAKINI ABIRIA WENZETU WA RELI YA KATI WALITUSHANGAA KWAJINSI TUNAVYO LISHANGAA WAKATI WAO WAMELIZOEA
No comments:
Post a Comment