Friday, September 14, 2012

WAKILI WA ICC KIZUIZINI NCHINI LIBYA


WAKILI WA MAHAKAMA YA UHALIFU YA KIMATAIFA, ICC, AMEKAMATWA NCHINI LIBYA, AKISHUTUMIWA KUWA ALIMPA SEIF AL-ISLAM 

- MTOTO WA KIONGOZI WA ZAMANI WA LIBYA, KANALI GADDAFI - NYARAKA ZA HATARI.

WAKILI HUYO,


 MELINDA TAYLOR, 

AMEZUWILIWA KATIKA MJI WA ZINTAN, MAGHARIBI MWA LIBYA, AMBAKO ALIKWENDA KUMHOJI SEIF AL-ISLAM KWA RUHUSA YA WAKUU WA LIBYA.
SEIF AL-ISLAM ANAKABILI MASHTAKA NA ICC NA WAKUU WA LIBYA, KWA YALE ALIYOFANYA KUZIMA UPINZANI ULIOPELEKEA KANALI GADDAFI KUPINDULIWA.

No comments:

Post a Comment