Sunday, September 16, 2012

NANI ANATAKA KAZI?SRI LANKA IMETANGAZA KAZI MBILI NA MSHAHARA WAKE NI MNONO AJABU.
SRI LANKA KWA HARAKA UPESI INATAFUTA WANYONGAJI.
WATU WA KUWANYONGA WAFUNGWA 480 AMBAO WAMEHUKUMIWA KUNYONGWA KWA MAKOSA MBALI MBALI KATIKA NCHI HIYO ILIYO KUSINI MWA INDIA.
IKIWA INATAKA KAZI YA KUNYONGA WATU SRI LANKA TUMA MAOMBI YAKO SASA HIVI. SHIRIKA LA HABARI LA REUTERS LINASEMA KWAMBA IJAPO WATU 176 TAYARI WAMESHAHOJIWA LAKINI ZOEZI LA KUTAFUTA MNYONGAJI MZURI BADO LINAENDELEA.

No comments:

Post a Comment