Sunday, September 16, 2012

MH TUNDU LISSU AONDOKEWA NA BABAYE


 BABA MZAZI WA 


MHESHIMIWA TUNDU ANTIPAS LISSU MUGHWAI NA MHESHIMIWA CHRISTINA LISSU MUGHWAI AMEFARIKI DUNIA MUDA MFUPI ULIOPITA. MAREHEMU AUGOSTINO LISSU MUGHWAI (84) AMEFARIKI KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI ALIPOKUWA AMELAZWA AKISUMBULIWA NA MARADHI YA MOYO KWA MUDA MREFU. MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI, AMINA.

No comments:

Post a Comment