Friday, September 7, 2012

MAANDAMANO YA WAISLAM LEO JIJINI DAR-ES-SALAAM

PICHA ZOTE HAPO ZINA ELEZA HALI HALISI YA SIKU YA LEO KUFUATIA MAANDAMANO MAKUBWA YA WATU WANAOAMINIWA KUWA NI WADINI YA KIISLAM KUANDAMANA NA KUELEKEA ZILIPO OFISI ZA WIZARA YA MAMBO YA NDANI, NIA NA MADHUMUNI NI KUPINGA KILE WANACHOKIITA UONEVU DHIDI YAO. PIA WANAPINGA KUKAMATWA KWA WENZAO AMBAO INADAIWA KUWA WALIGOMEA SENSA ILIOKUA IKIENDELEA.

No comments:

Post a Comment