Monday, August 27, 2012

SEKESEKE LA CHADEMA VS CCMNAPE NNAUYE AKIJIBU HOJA ZA CHADEMA KUHUSU SIKU SABA ALIZOPEWA NA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO. CHADEMA ILIMTAKA NAPE AOMBE RADHI  NA KUKANUSHA SHUTUMA DHIDI YA CHAMA CHA CHADEMA.

NAPE AKAWAJIBU KUWA "SIKU 7 NI NYINGI SANA, USHAHIDI UPO KWA KILA NINACHOSEMA. WAENDE MAHAKAMANI HATA LEO......................."

AKIZUNGUMZIA SUALA HILO PIA ALIONGEZA "CHADEMA KWENDA MAHAKAMANI ITASAIDIA, PIA AKATAKA NA DK SLAA AJE NA USHAHIDI JUU YA SHUTUMA ZA CCM KUINGIZA SILAHA NCHINI"

No comments:

Post a Comment