Friday, August 17, 2012

RADA YA JULIUS NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT NI KIMEOHABARI TULIZO ZIPATA ZINASEMA RADA KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE NI MBOVU. MNYETISHAJI WETU ANASEMA KUWA TOKA MWANZO WA MWEZI HUU WANANE HAIJAFANYA KAZI. "KUANZIA TAREHE 3 RADA HAIJAFANYA KAZI HIVYO UMEWALAZIMU KUTUMIA MAWASILIANO YA RADIO CALL"

"TULIHISI KAMA NI HITILAFU YA UMEME LAKINI NINAVYODHANI ITAKUA ZAIDI YA HAPO"

TOKA MWAKA 2010 WAHUSIKA WA TANZANIAN CIVIL AVIATION AUTHORITY LAKINI HAKUNA KILICHOFANYIKA. HII NI AIBU KWELI HASA UKIZINGATIA KWA MAPAILOT AMBAO HAWAJAZOEA NJIA MBADALA YA MAELEKEZO YA NAMNA YA KUTUA BILA RADA NI TATIZO KWAO

No comments:

Post a Comment