Monday, August 20, 2012

ANTONIO CASSANO HUENDA AKABADILISHWA INTER

Antonio Cassano: Set to join Inter from AC Milan, with Giampaolo Pazzini perhaps moving the other way

MCHEZAJI WA AC MILAN ANTONIO CASSANO HUENDA AKAPELEKWA KWA TIMU HASIMU WA ACMILAN, HUENDA AKATUA INTER MILAM ILI KUKAMILISHA USAJILI HUO INTER MILAN NA WATAMTOA PAZZIN ILI AENDE AC MILAN,.

KOCHA WA AC MILAN AMESEMA KUWA NATAMANI KUENDELEA KUWA NA CASSANO LAKIN NADHANI NAMHUSUDU ZAID GIAMPAOLLO PAZZIN.

TUSUBIRI TUONE

No comments:

Post a Comment