Sunday, July 29, 2012

MBUNGE AMTIA MKURUGENZI KIKAANGONI





“IZINGATIWE KWAMBA MASHARTI YA IBARA YA 27 (2) YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, INAMTAKA KILA MTU.. KUTUNZA VIZURI MALI YA MAMLAKA YA NCHI PAMOJA NA KUPIGA VITA AINA ZOTE ZA UHARIBIFU NA UBADHIRIFU,”

“AIDHA, WIKI MOJA KABLA YA HAPO MKURUGENZI HUYO ALIKWISHASAINI MKATABA MWINGINE NA KAMPUNI YA CAMEL OIL KWA BEI YA DOLA ZA MAREKANI 905.24 AU SH1,444,488.80 KWA TANI... MIKATABA YOTE MIWILI ILIKUWA NA GHARAMA KUBWA ZAIDI KULIKO GHARAMA ZA BP. HATA HIVYO, MKATABA WA BP ULIKATISHWA NA TANESCO IKAANZA KUNUNUA MAFUTA YA KUENDESHEA MITAMBO YA IPTL KWA KAMPUNI ZA ORYX NA CAMEL OIL.
“CHA AJABU ZAIDI NI KWAMBA LICHA YA MIKATABA YA KAMPUNI ZA ORYX NA CAMEL OIL KUONYESHA BEI YA SH1,501.70 NA SH1,466.49 KWA LITA, TANESCO ILINUNUA MAFUTA HAYO KWA SH1,850. KWA ULINGANISHO, MAFUTA YALIYOUZWA NA BP KWA MKATABA NA RITA YALIIGHARIMU SERIKALI SH13,140,000,000 KWA BEI YA SH1,460 KWA LITA


MHANDO NA KASHFA NYINGINE

















KATIKA HATUA NYINGINE, MNYIKA ALISEMA MHANDO NI MKURUGENZI NA MWANAHISA WA KAMPUNI BINAFSI INAYOITWA SANTA CLARA SUPPLIES CO. LTD YA DAR ES SALAAM. ALISEMA WAKURUGENZI WENGINE NI MKEWE, EVA MARTIN WILLIAM AMBAYE NI MKURUGENZI MTENDAJI NA WATOTO WAO.

“KWA MUJIBU WA TAARIFA AMBAZO KAMBI YA UPINZANI INAZO, DESEMBA 20, 2011 SANTA CLARA SUPPLIES ILIINGIA MKATABA NA TANESCO NA KUKUBALIWA KUWA MGAVI WA VIFAA VYA OFISINI VYA SHIRIKA HILO LA UMMA KWA GHARAMA YA SH884,550,000,” ALISEMA NA KUENDELEA:

No comments:

Post a Comment