Saturday, June 30, 2012

YANGA YANG'ARA DHIDI YA EXPRESS

TIMU YA SOKA YA YANGA LEO JION IMENG'ARA BAADA YA KUITUNGUA TIMU YA EXPRESS GOLI 2-1 MAGOLI YOTE YA YANGA YALIFUNGWA NA JERRY TEGETE KATIKA KIPINDI CHA KWANZA. NA LILE LA KUFUTIA MACHOZI LA EXPRESS LILIFUNGWA KIPINDI CHA PILI.KIKOSI KILICHOCHEZA LEO MCHEZAJI MWENYE UTATA (CALVIN YONDANI ) AKIWEMO

No comments:

Post a Comment