Wednesday, June 27, 2012

WAHAMIAJI HARAMU WENGINE WAFA MAJI MALAWI


POLISI NCHINI MALAWI WANASEMA WAHAMIAJI HARAMU HAMSINI WAMEAGA DUNIA BAADA YA MASHUA WALIMOKUWA WAKISAFIRIA KUZAMA KASKAZINI MWA NCHI HIYO.
SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LINALOSHUGHULIKIA MASUALA YA WAKIMBIZI UNHCR, LIMESEMA WALIOANGAMIA NI RAIA WA ETHIOPIA.
INAAMINIKA KUWA zAIDI YA WATU SITINI WALIKUWA NDANI YA MASHUA HIYO.
ANASEMA KWA SASA NI MSIMU WA BARIDI NA HAKUNA DALILI YA KUPATA MANUSURA ZAIDI.

No comments:

Post a Comment