Sunday, June 10, 2012

UJERUMANI, DENMARK MAMBO MWANANA EURO 2012

TIMU ZA TAIFA ZA UJERUMAN NA DENMMARK JANA ZILIANZA VYEMA KAMAPENI ZAO Z KUTAKA KULINYAKUA KOMBA LA MATAIFA YA ULAYA MWAKA HUU BAADA YA KUSHINDA MECHI ZAO.  KATIKA MECH YA KWANZA AMBAYO ILIWAKUTANISHA UHOLANZI NA DENMARK UHOLANZI ILIJIKUTA IKIAMBULIA KIPIGO BILA YA KUTEGEMEA BAADA YA KUJIKUTA IMEFUNGWA GOLI 1-0 HADI MWISHO WA MCHEZO DENMARK WAKA NYAKUA POINT 3 MUHIM KWA BAO LILOFUNGWA NA MICHAEL  DEHLI....


     Holland 0 Denmark 1

KWINGINEKO TIMU YA UJERUMANI ILIPATA USHINDI WA GOLI MOJA BILA BAADA YA KUTOLEWA JASHO NA TIMU ILIOKUA IKISUKUMIZA MASHAMBULIZI YA URENO. SHUKRANI ZA WA JERUMAN ZITATUA KWA NYOTA WAO MARIO GOMEZ ALIE WAFUNGIA GOLI LA KICHWA BAADA YA KPOKEA MPIRA KUTOKA KWA KHEDIRA NA KUIANDIKIA BAO LA USHINDI.


     Germany 1 Portugal 0

No comments:

Post a Comment