Tuesday, June 26, 2012

TEKNOLOJIA YA KOMPYUTA WAKATI WA KUPIGA


WAKATI JOTO LA UCHAGUZI WA KLABU YA YANGA LIKIZIDI KUPANDA, KAMATI YA UCHAGUZI YA KLABU HIYO, IMESEMA ITATUMIA TEKNOLOJIA YA KOMPYUTA WAKATI WA KUPIGA NA KUHESABU KURA.
UCHAGUZI MDOGO WA YANGA UNAOSUBIRIWA KWA HAMU UNATARAJIA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM JULAI 15 MWAKA HUU.
AKIZUNGUMZA JIJINI DAR ES SALAAM JANA, KATIBU MKUU WA KAMATI YA UCHAGUZI YA YANGA, FRANCIS KASWAHILI ALISEMA MPANGO WA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA HIYO UNA LENGO YA KUONGEZA UFANISI NA KUEPUKANA NA UDANGANYIFU

No comments:

Post a Comment