Wednesday, June 20, 2012

ROONEY AIBEBA UINGEREZA, SWEDEN "KURA HAZIKUTOSHA"


     England 1 Ukraine 0

BAO LA MAPEMA KIPINDI CHA PILI LILILOFUNGWA NA MSHAMBULIZI WAYNE ROONEY LIMEIVUSHA ENGLAND MPAKA HATUA YA ROBO FAINALI YA KOMBE LA MATAIFA YA ULAYA. "NI VIZURI MNO KURUDI KIKOSINI NA KULISAIDIA TAIFA LANGU KUVUKA KWENDA KWENYE HATUA YA MAKUNDI NADHANI NI MOJA YA VITU AMBAVYO NITAVIKUMBUKA KWA SIKU NYINGI" ALIMALIZIA KUSEMA WAYNE ROONEY


     Sweden 2 France 0
KWINGINEKO MAGOLI MAWILI YA SWEDEN YALISHINDWA KUWAVUSHA KUELEKEA ROBO FAINALI LICHA YA USHINDI WALIO PATA DHIDI YA UFARANSA. MAGOLI YA LIFUNGWA NA IBRAHIMOVIC NA LARSSON LAKIN BADO NI KAMA "KURA HAZIKUTOSHA KWA UPANDE WA SWEDEN." UFARANSA WALIKUA WA LIKUA WADHAIFU MNO HIVYO ITAWAPASA WAFANYE KAZI KUBWA KATIKA ROBO FAINALI ILI WAWAPIKU WA TALIANO..

No comments:

Post a Comment