WAZIRI MKUU
WA KENYA RAILA ODINGA AMEOMBA MSAADA KIFEDHA NA VIKOSI KUTOKA MAREKANI NA ULAYA
KUWATOA AL-SHABAB KWA ‘SHAMBULIO LA MWISHO’ KATIKA MJI WENYE BANDARI WA
KISMAYO.
RAILA ODINGA
ALISEMA VIKOSI VYAKENYA VINATARAJIA KUINGIA KISMAYO MWEZI AGOSTI NA ALISEMA
AL-SHABAB ITAHITAJI "OPERESHENI YA KIVITA ARDHINI, BAHARINI NA
ANGANI".
TAARIFA
ZINAZOHUSIANA
ALSHABAB,
KENYA, RAILA ODINGA, AFRIKA, SOMALIA
LAKINI
MSEMAJI WA SERA ZA NJE WA MUUNGANO WA ULAYA MICHAEL MANN ALISEMA HIYO NI KWENDA
KINYUME NA MAJUKUMU YAKE.
MANOWARI ZA
KIVITA ZIMEKUWA KATIKA ENEO HILO TANGU MWAKA 2008 KUPAMBANA NA MAHARAMIA.
MAJUKUMU
YAKE HIVI KARIBUNI YALIONGEZEKA ILI KURUHUSU MASHAMBULIZI YA ARDHINI DHIDI MAHARAMIA
WA KISOMALI.
HADI
MANOWARI KUMI ZA KIVITA ZINAFANYA DORIA KATIKA PEMBE YA AFRIKA KAMA SEHEMU YA
HARAKATI YA MUUNGANO WA ULAYA ‘ATALANTA’ AMBAYO ILIANZISHWA KULINDA BIASHARA ZA
BANDARINI DHIDI YA MASHAMBULIZI YA MAHARAMIA.
LAKINI BW
MANN ALIIAMBIA BBC: "HATUNA BUDI KUWA MAKINI SANA KUFANYA HARAKATI ZETU
KATIKA MZINGO WA SHERIA ZA KIMATAIFA. TUNAWAJIBIKA KATIKA JUKUMU LETU AMBALO NI
KUPAMBANA NA MAHARAMIA BAHARINI KWA KUHARIBU MGOME ZAO.
"IWAPO
TUTABADILI HILO TUTAHITAJI NCHI WANACHAMA 27 KUKUBALIANA NA HILO. KWA SASA
TUNAONA KUWA KUPAMBANA NA AL-SHABAB KWA UFANISI ZAIDI HAKUNA BUDI KUFANYWE KWA
NAMNA NYINGINE"
'KUWAMALIZA
AL-SHABAB'
ASKARI WA
UMOJA WA AFRIKA, VIKOSI VYA ETHIPIA NA VILE VYA SERIKALI YA MPITO YASOMALIA
KATIKA MIEZI YA KARIBUNI YAMEFANIKIWA KUWAONDOA AL-SHABAB KATIKA MIJI KADHAA.
VIKOSI VYA
KENYA VILIINGIA SOMALIA MWEZI OKTABA MWAKA JANA NA TARATIBU VINASOGEA KUELEKEA
KISMAYO.
KISMAYO
KIMSINGI INACHUKULIWA KAMA MJI MUHIMU WAPIGANAJI WA AL-SHABAB KWA SABABU
WANAUDHIBITI KUPATA FEDHA KUTOKANA NA MAPATO NA KODI KATIKA BANDARI HIYO
No comments:
Post a Comment