Aliyewahi kuwa Kamanda wa Polisi Kikosi cha usalama barabarani, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) mstaafu James Kombe amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.
Taarifa zaidi soma - http://bit.ly/16sPLoY
<
Taarifa zaidi soma - http://bit.ly/16sPLoY
No comments:
Post a Comment