NILIPOKUTANA NA RAFIKI YANGU AMBAYE NI PRODUSER IT WAS SUCH A NICE MOMENT
HAPA ILITUBIDI TUKATAFUTE KUMBUKUMBU KIDOGO KWASABABU BILA KUFIKA HAPA BADO HUJAFIKA ARUSHA.
HAPA NI MOJA YA BARABARA ZA KATIKATI YA JIJI LA ARUSHA IKIWA KATIKA MATENGENEZO
ARUSHA HAWATAKI UTANI KATIKA KUKARABATI BARABARA ZA KATIKATI YA JIJI
MMOJA KATI YA WADAU WANGU WA ZAMAAAANI AKITABASAMU MARA BAADA YA KUONANA
No comments:
Post a Comment