BAADA YA KUKOSA KUWAJULISHA YALIYOJIRI KUTOKANA NA SABABU ZILIZO NJE YA UWEZO. ILI NIBIDI NIKAJIPUMZISHE KANDA YA KASKAZIN MKOANI ARUSHA MKOA NILIO KULIA.
HAPA NIKAONA HAITAKUA BUSARA BILA YA KUMSALIMIA HUYU MJEDA PALE KWENYE KIPITA-SHOTO CHA MJINI MOSHI
HAPA NIMEVUTIWA SANA NA HALI YA UKIJANI INAMAANISHA KUNA UTUNZAJI WA MAZINGIRA.
MUDA MWINGI KATIKA MWAKA MKOA HUU WA ARUSHA HUWA NA HALI KAMA HII
MANDHARI NZURI YA JIJI INAENDELEA KUONEKANA
HATUJAFIKIA VIWANGO VYA NEW-YORK LAKIN TUMEJITAHIDI
FINAL HOME HONESTLY I MISS THESE PEOPLE A LOT NA HAPA WANAWASALIMU
PICHA ZAIDI ZA SAFARI YANGU ZITAWAJIA SIKU NYINGINEZO KWASABABU KWA SASA NAFASI HAIRUHUSU SAANAAAAA KWAHERIN KWA SASA
No comments:
Post a Comment