Friday, August 24, 2012

ZAID YA VYAMA 20 VYA SIASA. SASA INAKUJA ADC


CHAMA KIPYA KIITWACHO ADC LEO KIMEFANYA ZOEZI LA UHAKIKI KATIKA UKUMBI WA STARLIGHT JIJINI DAR-ES-SALAAM.

MWANASHERIA WA OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AKITANGAZA MATOKEO YA UHAKIKI KWA MKOA WA KUMI NA WAMWISHO KATIKA ZOEZI LA UHAKIKI DAR ES SALAAM. WANACHAMA 291


JAMANI SWALI.

HIVI WINGI WA VYAMA VYA SIASA NDO DEMOKRASIA?

No comments:

Post a Comment