Monday, August 27, 2012

TETESI ZA FUJO MOROGORO UPDATES


TAARIFA ZILIZOPO NI KUWA CDM WALIPEWA ENEO LA 'FIRE' KWA AJILI YA MKUTANO WAO, SASA WAKAANZISHA NA MAANDAMANO, JAMBO AMBALO NAFIKIRI LIMEWALAZIMISHA POLISI KUTUMIA NGUVU.

PIA INASEMEKANA 
VIONGOZI KADHAA WA CHADEMA WAMEKAMATWA

STAY IN TOUCH FOR MORE

No comments:

Post a Comment