Tuesday, August 28, 2012

SOKA LA ULAYA


KLAB YA AC MILAN NCHINI ITALY IMEFANIKIWA KUMNASA MFARANSA M'BAYE NIANG WAKATI HUOHUO BOJAN AKIENDELEA NA MAZUNGUMZO YA KUJIUNGA NA MIAMBA HAO WA MILAN

bojan krkic


DIMITAR BERBATOV

WAKALA WA MCHEZAJI HUYU AMESEMA MAMBO YATAKAA SAWA KATIKA MDA MCHACHE UJAO ILI KUJUA HATMA YA MCHEZAJI HUYU


KLAAS JAN HUNTELAAR AMESEMA BADO HAJA AMUA KUHUSU HATMA YAKE KATIKA TIMU YAKE YA SASA YA SCHALKE 04 YA NCHINI UJERUMANI. LAKIN AKASEMA KUNAUWEZEKANO AKAONGEZA MKATABA ZAID

MILAN WAKATA TAMAA JUU YA KUMNASA KAKA' KWA MKOPO NA KUSEMA WAMEONA KUNA HATARI MBELENI

No comments:

Post a Comment