Monday, August 27, 2012

MOROGORO UPDATES
HUYU NI KIJANA MJASIRIAMALI MJINI MOROGORO ANAITWA ALLY ZONA, KIJANAMUUZA MAGAZETI.. AMEPIGWA RISASI YA KICHWA NA ASKARI POLISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAENEO YA MSAMVU AKIWA KATIKA BIASHARA ZAKE...POLISI WAKIHANGAIKA KUZUIA CHADEMA WASIANDAMANE KUELEKEA MKUTANONI LEO MUDA MFUPI ULIOPITA.

VIJANA WENGINE WAWILI WAMEPIGWA RISASI NA HALI ZAO NI MBAYA SANA..MMOJA AMEPIGWA MBAVUNI! POLISI WALITUMIA MABOMU YA MACHOZI NA RISASI ZA MOTO KUZUIA WATU


YARABI NAFSI YANGU.

WANACHAMA WA CHADEMA WAKITIMUA MBIO SIKU YA LEO BAADA YA KUTAWANYWA NA ASKARI WA KUTULIZA GHASIA.

SIO MBAYA M4C INAENDELEA


No comments:

Post a Comment